Mimi, CCM na hawa wenzangu tumeumia sana kwa Lissu kushinda. Hii ni dalili mbaya kwetu

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Hali yangu na hawa wenzangu ambao tulijitolea kwa hali na mali kumshambulia Lissu na kumsifu Mbowe ni mbaya. Hatuna raha, tumekonda ghafla na nuru imezidi kufifia. Hiki ni kipindi ambacho tulimtaka sana Mbowe. Hatujawahi mtaka Mbowe awe Mwenyekiti kama ilivyo sasa.

Kwa niaba ya wenzangu wakunja sura Tlaatlaah ChoiceVariable Ritz Adiosamigo Samiaagain2025 Lucas Mwashambwa na wana CCM wengine nakiri Lissu ametufanya jambo baya sana la kusikitisha na la aibu kusimulia mbele za watu.

Lissu si binadamu wa kawaida. Tulipambana naye sana. Kwa mbiiiinde katuweza. Tumejitahidi sana kila tukiinamishwa kichwa chini tukubali tunainuka...kila akituinamisha tunainuka. Hatimaye ameweza. Tumelamba mchanga. Hoi na kuharibiwa kisaikolojia.
 
Nani kakuambia sisi wakunja sura sisi ni wale tumefata mafunzo ya Nabii Muhammad alikuwa anafundisha nini mana ya Tabasamu. Alisema Alibtisamu li akhiki sadaka kumchekea ndugu yako ni sadaka. Ndugu hapo inakusudia ndugu, pia rafiki au mtu usio mjua lazima ukikutana naye mpa tabasamu.

Tukirudi huko ju Lissu hamna kitu hapo Samia kisha pata mitano tena. Huyu hawajokesea kumuita tundu hapo Samia anapita kiulaini kabisa.

Mbowe pia ni kelele tu hana jipya.

Mwacheni Mama Samia achape kazi hatutaki kelele zenu haswa nyie watu wakanisani mnaye shibishwa chuki 😂
 
Mmmh

Duuuh

Mbaya kivipi!?

hadi muunie na anakuja kuchamgamsha siasa za nchini?
 
Mkunja sura. Ukiandika tu unasomeka na kuonekana ni mkunja sura. Mbowe ameshindwa na huyu pesa nyingi sana tulimpa. Sasa inakuaje?
 
Kumbe mtu akiandika tu unamjua mkunja sura 😂 vichaa wako wengi aisay.

Sa we nani kakuambia umpe pesa na unajua hawezi kushinda.

Mbowe karibu utasikia kahamia CCM
 
Safi sana. Mumkaribishe CCM aje akutanike na wakunja sura wengine.... CDM WAMESHACHAGUANA. Huku CCM tunajichagua maisha yanaenda mbele.....🤣
 
Mmmh

Duuuh

Mbaya kivipi!?

hadi muunie na anakuja kuchamgamsha siasa za nchini?
Lissu akianza kuuwasha moto wake, avulumishe maneno yale ya sokomoko, huko ccm lazima warudi tena Dodoma kujipanga.. Halafu number 2 ya ccm na number 2 ya Chadema wote ni kanda moja- serengeti, damu changa na nzee, hapa lazima moto uwake... sijui ni nani atakuwa wa kwanza kuvurumisha mangumi ya hoja kati ya hizo number 2- ccm na cdm
 
Back
Top Bottom