Mimi CHIKIRA MTABARI ni

Kati ya wanawake wa JF ambao hawajapata PM za kutosha za wanaume,wewe ni mmoja wao. Jina halishawishi kuingia humo kabisa. Hahhaha
hahahaah, hivi bado wanaendekeza kuombana unyumba kwenye mitandao! hahahahhahahah, Je, mkikubaliana halafu siku ya kumeet unashangaa hana vigezo unavyovitaka utafanyaje? hahahahaahahahahah
 
hahahaah, hivi bado wanaendekeza kuombana unyumba kwenye mitandao! hahahahhahahah, Je, mkikubaliana halafu siku ya kumeet unashangaa hana vigezo unavyovitaka utafanyaje? hahahahaahahahahah
Mnaahidiana kukutana. Hampeani namba,mkikubaliana kukutana mahali msiporudhiana mmoja anamkimbia mwenzake kwa kasi ya ajabu kama akiwahi kumuona.
 
Naweza nikakataa lakini kwa kuwa umekiri mwenyewe kuwa wewe ni ke, basi acha tu niamini. Ila ulituchanganya wengi
 
hahahahaha yaani wengi wameingia inbox kuniuliza ndio maana nimeona bora niweke tu uzi hapa kwenye jukwaa la utambulisho: mie ni mwanamke wa KIPARE wa bila kuchakachua
Mbona mtu akisoma comments zako anajua kabisa ni mwanamke au watu wameogopa ID
 
Anatafutwa mtu hapa ohooo Mara chumbani kufunua makabati badala ya kuona vikombe unakuta kisukumio cha chapati lahaulaaa hahahaah hatari tupu
 
Anza kutupia pics zako ukiwa umetupia kama unaelekea vibweta vya nakutunuku kumfuata bae....acha kujizeesha watazidi kukuita me
hahahahaha au nitupie kama naingia library, tehe tehe tehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…