Wachaaaaah weee atafauduuu kweliMwezi tu umeshindwa, mi nakaribia mwaka eeeh nitakayemtunuku eeeeh ajipange sana yani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wakutunukiwa atakua na bahati kubwa sana aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha porojo weweWasikupe matumaini..chakula hakikai muda mrefu huchacha.na wewe kama ulishazoea kufanya halafu ukasitisha ujue haitakuwa nzuri tena.ukumbuke hapaoshwi kwa sabuni mpaka bakora ndo inatakatisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah mpaka ipige stata ndo kitu kitaingiaMwezi tuu?
Nina kama miaka mi 3 kasoro.
Siku nikimkamata mwanaume ohooooo.
Mate yamejaa mdomoni kwa tamaa ya chakula [emoji16][emoji16]
Mhhhhhhhh!!!!!!!Mwezi tuu?
Nina kama miaka mi 3 kasoro.
Siku nikimkamata mwanaume ohooooo.
Ni hatariiiiiiiii
Hiyo law ni danganya totoTHEORY OF USE AND DIS-USE. ANYTHING UNUSED DIMINISHES.E.g if you tie up your hand in one position long enough, its over with it.... so kuwa makini. hahahaahaha
samahani mkuu umewah waza kumbe tutaja fikia uchumi wa viwanda?Tuna Safari ndefu kufikia uchumi wa viwanda.
Samahan mkuu, Kwa dp ni wewe?samahani mkuu umewah waza kumbe tutaja fikia uchumi wa viwanda?
ni vyema ungejibu swali langu!oops Tz ya viwanda oyeeeSamahan mkuu, Kwa dp ni wewe?