Wakutumia mbona wapo demis
Usifanye hivyo familia itapata tabu😀😀😀namlia taimingi tu,wallah talaka itamuhusu
kuliko niwe nalia kila siku nakukonda kwa maumivu bora nijitokee zangu tu taratibuuuUsifanye hivyo familia itapata tabu😀😀😀
Kunywaa soda alafu hili jukwaa la chitchat hatunaga stress sisi tunaburudika tu achana na hao wanaopovuka wakashinde majukwaa ya siasa na biashara mazwaazwaaaa tu hayooo[emoji3][emoji3] acheni watu waenjoy maisha yao mtu umeona kaandik kitu chake kwamba kakomaa mwezi mzima bira kuliwa limtu lunakuja kucomment mambo ya uchumi wa viwanda kwani lazima wote muwe n viwanda kuwa nacho ww sisi tutanunua.......!
😀😀😀kuliko niwe nalia kila siku nakukonda kwa maumivu bora nijitokee zangu tu taratibuuu
Mbona huto tupicha hatujafika kwenye pm yanguNiweke hapa hapaa agrrrrr
Usikasirike bana yameisha hayokuliko niwe nalia kila siku nakukonda kwa maumivu bora nijitokee zangu tu taratibuuu
HehehheMxeeeeew umekosa kazi rafiki
Aaaah unakodishaHongera, siye wengine mwaka unaenda kukata huu