Mimi Demiss nimemaliza mwezi bila kusex maajabu!

Dah...

Naangalia chanell ya NASA hapa, kweli wazungu wametuacha mbali sana...

Yaani wakuda wapo nje ya dunia ISS, wanafanya mahojiano ya na kituo cha NASA,

Kweli bongo bahati mbaya
Mwanaume hutakiwi kuwa mbea wewe unaangali hiyo NASA channel huku umeingia kufanya nn? Na hiyo NASA ni project ya serikali ya marekani, iambie serikali ya Tanzania ianzishe. Hafu nikwambie mapenzi huku Tz tunaongea tu huko USA ndo watu wanayafanya na hawayalalamikii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…