Mimi Demiss nimemaliza mwezi bila kusex maajabu!

Nilikuwa najiuliza Demiss amepotelea wapi mara paa nakutana na uzi wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], aisee wewe ni kati ya watu nawakubali humu ndani anyways Nasubir ripot ya miez mitatu ijayo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

KAABAD THE GREATEST
 
Twendeni tukajadili ile barua ya wazi kutoka kwa Tundu Lissu kwenda kwa jiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
N.Y.UMB.U 9:12-14 12 naye yule mfupi akasimama akawaambia wafuasi wake kila tunachojadili ni lazma watu wote wajadili,13 ghafla akatokea mmoja aliyeonesha kuwa muelewa akamuuliza mwenyekiti ni kwann tuwalazimishe hawa wasip wenzetu kujadili na kukubaliana na kila jambo tuliongealo,14 naye mwenyekiti akasimama akakohoa kidogo kisha akasema sisi ni nyu.mb.u na sifa ya nyu.mb.u ni kufata mkumbo basi hatuna budi kulazmisha watu wote wawe na tabia zetu nyu.mb.u wa ufipa
 
Yani babu Mchawi unamnyali anavyonipigishaga show ivyoooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lipia tangazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…