Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bajaj ama pikipiki unayoizungumzia kuleta hesabu iyoNatafuta bajaji ya kuendesha kwa mkataba. Hesabu kwa wiki Ni 20,000/=. Namba yangu 0713695147. Nipo Madale, Dar es Salaam. Kama una bajaji tuwasiliane
Kwa mkataba wa muda ganiHesabu kwa SIKU elfu 20. Mwenye bajaji tuwasiliane wadau
Baada ya mwaka bajaji inakuwa yako au, 20,000 ni hasara kwa tajiri, fanya 30,000 kwa siku km utawezaMwaka mmoja. Mazungumzo yapo
Baada ya mwaka bajaji inakuwa yako au, 20,000 ni hasara kwa tajiri, fanya 30,000 kwa siku km utaweza
Mkuu upo serious kweli wewe na hiyo hesabu yako? Bajaj ukisema ya mkataba na umesema wa mwaka mmoja ina maana baada ya mwaka bajaj inakuwa ya kwako sasa tutumie hesabu rahisi tu za chekechea mkuu, kwa 20,000/- kwa mwaka mmoja ni 7,300,000/= na hapo nimeweka siku 365 zote! Ina maana hakuna hata siku mija utayeyusha kulipa hela ya tajiri. Sasa kwa Bajaj manunuzi yake hadi iingie barabarani sh 7,200,000/=, service ya kuanzia (Kupaka vikombe Greece) 40,000/=, kununua na kufunga pazia 60,000/=, kutengeneza mlango wa mbao 20,000/=, kulipa bima 141,600/=, kulipa sumatra 32,000/=, TRA awamu ya kwanza 30,000/=, Jumla hadi chombo iwe barabarani wakukabidhi ni 7,523,600/=
Sasa mkuu nitoe 7,523,600/= kisha nikukabidhi alafu baada ya mwaka unanipa 7,300,000/= kweli mkuu? Tena hapo nime assume utatoa kila siku kuanzia jumapili hadi jumapili!
Ninahitaji bajaji. Nina vigezo na offer yangu. Kama mtu hajapendezwa na offer yangu majadilino yapo.
Nipo serious. Kwa aliye seriously anitafute tayajenge
Hata mimi nilitaka kushangaa!!! Kwa hesabu hizo huwa ni mkataba wa miaka miwili. Ndio inakuwa mali yake.Mkuu upo serious kweli wewe na hiyo hesabu yako? Bajaj ukisema ya mkataba na umesema wa mwaka mmoja ina maana baada ya mwaka bajaj inakuwa ya kwako sasa tutumie hesabu rahisi tu za chekechea mkuu, kwa 20,000/- kwa mwaka mmoja ni 7,300,000/= na hapo nimeweka siku 365 zote! Ina maana hakuna hata siku mija utayeyusha kulipa hela ya tajiri. Sasa kwa Bajaj manunuzi yake hadi iingie barabarani sh 7,200,000/=, service ya kuanzia (Kupaka vikombe Greece) 40,000/=, kununua na kufunga pazia 60,000/=, kutengeneza mlango wa mbao 20,000/=, kulipa bima 141,600/=, kulipa sumatra 32,000/=, TRA awamu ya kwanza 30,000/=, Jumla hadi chombo iwe barabarani wakukabidhi ni 7,523,600/=
Sasa mkuu nitoe 7,523,600/= kisha nikukabidhi alafu baada ya mwaka unanipa 7,300,000/= kweli mkuu? Tena hapo nime assume utatoa kila siku kuanzia jumapili hadi jumapili!
Ww ungekua una bajaj ungeweza itoa kwa elfu 20? Acha dharau na vyombo vya watu
Au mnasemaje mods