pathfinder_tz
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 356
- 377
Nna bahat ya kupewa namba na mabint ila tatzo cna mawazo wala idea ya kumuanza coz mara nying nataman kumropokea lakn nikikutana nae tu
Ye ndo anakuwa mzungumzaj mimi msikilizaj..
Nakumbuka kuna siku akaniambia mbona kwenye simu unachat sana lakn tukikutana huongei..
Dah! Kiukweli nilijisikia vibaya na najua mwanamke anaeweza kuniambia twende ukani****** kama mmi mwenyewe sionesh interest..
Huwa naona tamaa sana rafik zangu wanavyokula mizigo.. wakat mwingine kuna rafik yangu nikamsimulia kuhusu demu mmoja hiv na jins nnavyomielewa.. akaniambia nmpe namba ya huyo dem ataongea nae af ataniambia...
daaah baada ya week nikasikia yule rafik yangu anamla yule manz nilihis kuchanganyikiwa had leo hatuonge.. nmewapotezea wote wawili..
Sasa hiv kuna manz mmoja tunaelewana sana na yupo single pia sasa mchawi ni mimi tu..
Naomben maujuz jaman.. hata wanawake niambien jins mnavyotongozwa ili na mm niweze kumwaga maneno..
Najua kuna mijitu midomo yao michafu itaniponda ila hamna noma poa tu..