Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Na hili ndilo litakalotokea mkuu. Hoja ya No Reforms No Election wananchi imewaingia ipasavyo. Wanaokusanywa na malori yao kwenye mikutano ya kampeni ya CCM ni mabalozi wa nyumba kumi kumi, wanachama wao toka matawi mbalimbali katika mkoa husika unaofanyika kampeni. Hakika ni kichekesho kwakweliAwali tulidhani labda itakuwa ni ACT au CHAUMMA lakini kwa sasa mambo ni hobelahobela haileweki CCM inashindana na chama gani au muungano gani wa vyama. Huu utakuwa ni uchaguzi wa kichovu kuwahi kutokea. CCM itapata kura zisizokuwa za thamani, kura za wanachama wake tu watakaohamasishana kwenda kupigia kura wagombea wao
Hata mimi nimejiuliza swali hili,wanafanya kampeni za nini wakati wako peke yao!Ukweli ni kwamba CCM wanatumia nguvu kubwa sana ya kufanya kampeni na kushawishi umma kuhusu uchaguzi kama vile wako vitani. Wameshadhibiti miiba na mizumari sijui kwanini wanahangaika sana na tunajua kwamba hivyo vyama vingine ni kama matawi yake tu. Hadi sasa CHADEMA hawashiriki kwenye uchaguzi swali langu linalobaki ni: kweli mpinzani wake ni nani?
Hii idea ya vyama vingi vya siasa kwenye uchaguzi huu haipo na ni unrealistic. Ndiyo maana, mtu akijiuliza leo, huenda akahisi kama chama tawala kipo kwenye mashindano ya kuendeleza nguvu zake badala ya kushindana na wapinzani wa kweli wanatumia nguvu nyingi kushindana na hawa waliopewa V8 au kuna wengine huko wakuu?
Hata mimi nimeliona…CCM ilikuwa inakufa taratibu, ila kwa uyu mama ni kama ameiongezea mwendo kufika tamatiMAGUFULI pamoja na maboko yake aliruhusu uchaguzi ila huyu mama mmmh bila hata aibu eti mwislamu safi na ijumaa anaenda kuswali. Ila what am sure of is death of ccm is around the corner.
Wanashindana na hewa. Walivyo busy sasa kama kuna cha maana wanafanya. Ila watanzania aloturoga kafa
Ukweli ni kwamba CCM wanatumia nguvu kubwa sana ya kufanya kampeni na kushawishi umma kuhusu uchaguzi kama vile wako vitani. Wameshadhibiti miiba na mizumari sijui kwanini wanahangaika sana na tunajua kwamba hivyo vyama vingine ni kama matawi yake tu. Hadi sasa CHADEMA hawashiriki kwenye uchaguzi swali langu linalobaki ni: kweli mpinzani wake ni nani?
Hii idea ya vyama vingi vya siasa kwenye uchaguzi huu haipo na ni unrealistic. Ndiyo maana, mtu akijiuliza leo, huenda akahisi kama chama tawala kipo kwenye mashindano ya kuendeleza nguvu zake badala ya kushindana na wapinzani wa kweli wanatumia nguvu nyingi kushindana na hawa waliopewa V8 au kuna wengine huko wakuu?
Hawaoni kilichotokea nepal
https://www.facebook.com/Ukweli ni kwamba CCM wanatumia nguvu kubwa sana ya kufanya kampeni na kushawishi umma kuhusu uchaguzi kama vile wako vitani. Wameshadhibiti miiba na mizumari sijui kwanini wanahangaika sana na tunajua kwamba hivyo vyama vingine ni kama matawi yake tu. Hadi sasa CHADEMA hawashiriki kwenye uchaguzi swali langu linalobaki ni: kweli mpinzani wake ni nani?
Hii idea ya vyama vingi vya siasa kwenye uchaguzi huu haipo na ni unrealistic. Ndiyo maana, mtu akijiuliza leo, huenda akahisi kama chama tawala kipo kwenye mashindano ya kuendeleza nguvu zake badala ya kushindana na wapinzani wa kweli wanatumia nguvu nyingi kushindana na hawa waliopewa V8 au kuna wengine huko wakuu?
Ule 2020 kwako ulikua ni uchaguzi??MAGUFULI pamoja na maboko yake aliruhusu uchaguzi ila huyu mama mmmh bila hata aibu eti mwislamu safi na ijumaa anaenda kuswali. Ila what am sure of is death of ccm is around the corner.
hujakosea na hawafanya kwa bahati mbaya., that how serious they are with election. Wanatumia nguvu kuongea na kuwafikia wananchi, wanajua wana wajibu kwa umma kuliko washindani waoUkweli ni kwamba CCM wanatumia nguvu kubwa sana ya kufanya kampeni na kushawishi umma kuhusu uchaguzi kama vile wako vitani. Wameshadhibiti miiba na mizumari sijui kwanini wanahangaika sana na tunajua kwamba hivyo vyama vingine ni kama matawi yake tu. Hadi sasa CHADEMA hawashiriki kwenye uchaguzi swali langu linalobaki ni: kweli mpinzani wake ni nani?