Mimi leo naitwa Mganga wa Kienyeji

Mimi leo naitwa Mganga wa Kienyeji

Yani unatafutiwa ajira halafu unauliza ufanyaje. Fursa hio, kama huitaki badili namba ya simu.

Kama ukiamua kubadili number ya simu, hakikisha hio number yako alioandika kwenye hilo bango la mganga unaifanyia "CALL FORWADING/CALL DIVERT" kwenda kwenye number yake huyo dada. Ili utakapoizima, simu zote hizo za kutafuta mganga ziende kwake kwa ku divert.
 
Kuna dada nimevunja nae mahusiano ya kimapenzi ila nae kaamua kulipiza kisasi kwa kuchapisha mabango na kuweka namba yangu ya simu kwa chini akisema ni mganga toka sumbawanga anayetibu nguvu za kiume na kuangamiza wachawi.Nifanyeje?
Vipi, wateja wameanza kupatikana?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huo ndio ujira wako
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ahh huyo kweli babalao..
 
Back
Top Bottom