C changman JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 229 Reaction score 90 Nov 7, 2012 #1 Hamjambo wanaJF. hebu mwenye uelewa aniambia nini maana ya mwekezaji, ni mzungu anayetoka nje na kuja kuwekeza nchini au hata Simon wa mtaani mwenye duka la kawaida ni mwekezaji pia?
Hamjambo wanaJF. hebu mwenye uelewa aniambia nini maana ya mwekezaji, ni mzungu anayetoka nje na kuja kuwekeza nchini au hata Simon wa mtaani mwenye duka la kawaida ni mwekezaji pia?