Mimi mbona muoga kupanda ndege na meli,mnaopanda mna mioyo ya aje wenzangu?

Mimi mbona muoga kupanda ndege na meli,mnaopanda mna mioyo ya aje wenzangu?

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Jamani mwenzenu nimekulia airport-tabora na tulikuwa tunaendea vhombo vya kuchezea vilivyotoka kwenye Ndege ila cha ajabu ni muoga kupanda Ndege sijui kwanini,huwa najiuliza ikipatikana fursa kwenda nje sijui itakuwaje,ikiwemo na meli,wenzangu mliozoea nitoeni hofu...
Niite mlokozi
 
Usafiri salama kuliko wote ni ndege, then inafuatiwa na meli, sababu wanaoziendesha huwa wanasoma sana, na pia ni usafiri unaohusisha zaidi ya mtu mmoja, hivyo kufanya errors ni mara chache sana, mbali na hapo upo computerised, ndege ama meli ina uwezo wa kupredict mabadiliko mapema sana kabla binadam hajaona
 
Back
Top Bottom