Usafiri salama kuliko wote ni ndege, then inafuatiwa na meli, sababu wanaoziendesha huwa wanasoma sana, na pia ni usafiri unaohusisha zaidi ya mtu mmoja, hivyo kufanya errors ni mara chache sana, mbali na hapo upo computerised, ndege ama meli ina uwezo wa kupredict mabadiliko mapema sana kabla binadam hajaona