Ukuta wa dhahabu
Member
- May 23, 2020
- 5
- 4
Ndugu habari zenu mie naitwa Ukuta wa dhahabu ni mgeni hapa katika jamii forums naomba kukaribishwa na wenyeji wa hapa jf pia kunipa ushirikiano na muongozo wa kutumia mtandao huu wa jamii asanten
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshakula kiapo cha kutotoa siri za JF?Ndugu habari zenu mie naitwa Ukuta wa dhahabu ni mgeni hapa katika jamii forums naomba kukaribishwa na wenyeji wa hapa jf pia kunipa ushirikiano na muongozo wa kutumia mtandao huu wa jamii asanten
Wanaenda kulia wapi nielekeze nikakimeze kiapoUmeshakula kiapo cha kutotoa siri za JF?
Asante ndugu.Karibu mkuu, ada ya uanachama huwa nakusanya mimi😀😀😀(kidding)