Mimi mgeni hapa

Mimi mgeni hapa

Karibu sana jesse huyo kwenye avatar ndio wewe tuanzie hapo kwanza
 
ndiye mi nipo spain nalikuja tanzania nikafunza swahili
Aha ok ok nyie ndio makaburu hee😁😁😁😁😁 karibu sana dona county habari za Ufaransa
Niambie ni nini kilikuvutia hadi ukajiunga jf dare talk ?
 
Siku hizi foreigners si haba JF, tuna mchina, mfaransa na sasa mhispania
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
ndiyo nafika tanzania kwa mda wa mwaka huu napenda swahili
Mkuu ulishawai fikiria kwanini wewe ni rahisi kuja Tanzania kujifunza kiswahili kuliko mimi kwenda Ufaransa nami kujifunza kifaransa hapo hiyo kozi hipo hata vituoni nisaidie kwa hili
 
Back
Top Bottom