Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
[emoji23][emoji23][emoji23]Usisahau kuonana na mwenyekiti wa UWABATA ndugu Kaka madenge
Pamoja sana babu/bibiKaribu sana JF mjukuu wetu hapakwa kwa GT ufaidi.
Does It Bother You?One man, 2 IDs!
Babu.Pamoja sana babu/bibi
Naam ndugu katibu naona sasa makao makuu yamekamilika asilimia miaUsisahau kuonana na mwenyekiti wa UWABATA ndugu Kaka madenge
Karibu uwabataHabari zenu waungwana, Mimi mgeni humu japo sio mgeni sana. Nimekuwa nikisoma na kupitia mijadala mbali mbali lakini suala la kuchangia mijadala mbalimbali ndio limenivuta kufungua ID rasmi.
Naomba ukaribisho wenu
Inabidi umuoneshe sample ya kitambulishoNaam ndugu katibu naona sasa makao makuu yamekamilika asilimia mia
Mgeni nakukaribisha jamani ujipatie kadi yako
Linatofautiana kidogoMkuu hili jina lako mbona kama limo humu kitambo sana?
AsanteKaribu Kibanga Pamoja Na Kwamba Ni Mgeni Usie Na Kamba Mguuni
Amen LegendKaribu sana JamiiForums...