Mimi mgeni humu JF

Mimi mgeni humu JF

Joined
Mar 22, 2017
Posts
64
Reaction score
67
asalam aleykum wakuu humu ndani ndio kwanza najiunga na nyny ili kushea maoni,hija na mambo mengine ya msingi nafadhali naomb ushilikiano wenu..
 
Mi nahisi huyu ni bashite mwenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji31] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu sio mm
 
Kama siyo nashite basi call me Jei
 
karibu ila ukiombwa offa na watu wa humu jipange atutaki kusikia ukija kutupigia kelele za kuomba msaada baada ya kutumia fedha yote ya mshahara kisa jf
 
Back
Top Bottom