Asante sana ndugu watu8
You're welcome...
Asante kwa ukarimu wako. shida yangu ni moja. ni katika kubahatisha ndo nimejiunga na nkajua namna ya kuchangia mada na hata kumquote mtu. ila jambo moja lililonizingua ni kumention jina la mtu mngne. kama unaweza plz nielekeze.
Habar zenu wanajamvi. Nimekuwa nikilifuatilia sana jamvi hili kwa muda. Na nilikuwa nikitaman sana kuwa nanyi. Nashkur leo nimefanikiwa naomben mnipokee. Asanten