Karibu JF, pia njoo jukwaa la celebritiesNaomba mnipokee wakongwe
Karibu sana mkuu! Hivi unataka kutuambia huna picha kweli!!!Naomba mnipokee wakongwe
Hata mimi mkuu sitaki kuamini kwamba huyu mgeni wetu eti hana picha!!Karibu sana mkuu! Hivi unataka kutuambia huna picha kweli!!!
Hili ndo tatizo la wageni eti hua wanabisha hawanaga picha!!Hata mimi mkuu sitaki kuamini kwamba huyu mgeni wetu eti hana picha!!
Mkuu kwa kupokea wageni nakupongezaKaribu sana mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wageni ni baraka mkuu.Mkuu kwa kupokea wageni nakupongeza
Safi mkuuKaribu JF, pia njoo jukwaa la celebrities