Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.Samahanini kwa usanifu mimi ni mgeni hapa jf naombeni mnipokee mnipe na utaratibu uliopo nimefurahi sana kujiunga hapa leo.
Dah...Umeolewa?
Sawa Mama, utaweza bahatika pata Mume mwenye pesa humu InshallahNitaweka tu usijal dada