Karibu sana jamvini. Huko shimo la udongo ndio wapi?mimi ni raia wa Tanzania , mkazi wa Shimo la Udongo, nimekua msomaji wa mijadala humu kwa miaka mingi, nami naja kuongeza michango ya hapa na pale.
Karibu sana jamvini. Huko shimo la udongo ndio wapi?