Mimi mgeni nipokeeni jukwaani

Katkit

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2023
Posts
1,893
Reaction score
4,641
AGE: 25
SEX: MALE
TRIBE: Zigua
RELIGION: Muslim
M. STATUS: Single
EDUCATION: Bachelor Degree (MZUMBE)
PROFESSION: Human Resource Management
LOC: Yombo DSM
EMP. STATUS: Unemployed


NB: Tushirikiane kupeana michongo wanajamvi, mtaani
 
Kila la heri Ndugu, Wazee wa work connection attainment karibuni tupeane ushirikiano huku.
 
Kuna jambo Moja umelisahau kwenye cv yako, hujaweka jinsia yako
 

Karibu chamsingi acha ujuaji.
 
AGE: 25
SEX: MALE
TRIBE: Zigua
RELIGION: Muslim
M. STATUS: Single
EDUCATION: Bachelor Degree (MZUMBE)
PROFESSION: Human Resource Management
LOC: Yombo DSM
EMP. STATUS: Unemployed


NB: Tushirikiane kupeana michongo wanajamvi, mtaani
Jinsia? Unatafuta mchumba mwenye sifa zipi?
 
Mods wamenikera sana kubadilisha title ya hii thread, nimekwazika sana kwakweli.
 
AGE: 25
SEX: MALE
TRIBE: Zigua
RELIGION: Muslim
M. STATUS: Single
EDUCATION: Bachelor Degree (MZUMBE)
PROFESSION: Human Resource Management
LOC: Yombo DSM
EMP. STATUS: Unemployed


NB: Tushirikiane kupeana michongo wanajamvi, mtaani
Michongo hapa JF na fake ID.

Karibu sana lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…