zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
Wewe kweli mgeniAGE: 25
SEX: MALE
TRIBE: Zigua
RELIGION: Muslim
M. STATUS: Single
EDUCATION: Bachelor Degree (MZUMBE)
PROFESSION: Human Resource Management
LOC: Yombo DSM
EMP. STATUS: Unemployed
NB: Tushirikiane kupeana michongo wanajamvi, mtaani
KaribuNi kweli kabisa.
Mtani ,jokeAre you joking or you mean it?
Tafuta kwanza kazi, usije kufa mapema.Jinsia: Me
Mchumba: Awe mzuri, age kuanzia 24 abv, mcha mungu.
hahahaha