Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo wewe!
Umefika huku leo wakati umejiunga miaka SABA iliyopita!?
Ndio maana imenishangaza kusema ameingia huku tarehe hiyo wakati ni wa tangu 2012.Dady mbon kajiunga 2012
Kwann ni new member???🙄🙄🙄
Mbona mkongwe weye.........Wadau mimi nimefika, huku leo, sasa si unajua kuku mgeni hakosi kwamba..
Ulijiunga 2012 ukatoweka, leo ndo umerudi!Wadau mimi nimefika, huku leo, sasa si unajua kuku mgeni hakosi kwamba..