shemangale New Member Joined Sep 22, 2010 Posts 4 Reaction score 1 Sep 22, 2010 #1 pleas tell me the relation money have with knowledge
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,199 Reaction score 8,761 Sep 22, 2010 #2 shemangale said: pleas tell me the relation money have with knowledge Click to expand... Du... We mgeni wa aina yake..! Ndo nini kuja na maswali badala ya salamu kwanza? Mbaya zaidi ni kwamba swali lenyewe ni la form One, wiki ya pili! hATA HIVYO KARIBU SANA, ....USIOGOPE!
shemangale said: pleas tell me the relation money have with knowledge Click to expand... Du... We mgeni wa aina yake..! Ndo nini kuja na maswali badala ya salamu kwanza? Mbaya zaidi ni kwamba swali lenyewe ni la form One, wiki ya pili! hATA HIVYO KARIBU SANA, ....USIOGOPE!
J Jafar JF-Expert Member Joined Nov 3, 2006 Posts 1,136 Reaction score 54 Sep 24, 2010 #3 Duuuh yaani wewe lazima utakuwa ni mjeuri sana - yaani hata kusalimia hujui?
shemangale New Member Joined Sep 22, 2010 Posts 4 Reaction score 1 Sep 28, 2010 Thread starter #4 ok salam wana jamii, poleni kwa kutowasalimu. ila hilo swali halijibiki nini? mwaka huu kura zote kwa Dk. wa ukweli yaani Slaa
ok salam wana jamii, poleni kwa kutowasalimu. ila hilo swali halijibiki nini? mwaka huu kura zote kwa Dk. wa ukweli yaani Slaa