Mimi mgeni wenu

Ndekrepha

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2020
Posts
1,506
Reaction score
2,660
Habari za mida hii wana jukwaa,

Mimi ni mgeni wenu, Baada ya kukaa muda mrefu kama mchunguliaji tu hapa jukwaani; leo nimechukua hatua moja zaidi na kuamua kujiunga na kuwa sehemu ya wanachama wa jukwaa hili adhimu lililosheheni elimu na maarifa mbalimbali.

Wasalam.
 
Karibu sana.
Kwa hiyo ulikuwa unatupiga chable[emoji23]
 
Karibu sana mkuu,ukihitaji wa kukutembeza kuonyesha majukwaa nipo hapa.

Aksante sana mkuu,

Mkono huu hapa..chukua nishike tuongozane jukwaa kwa jukwaa.
 
Karibu
 
Karibu sana.
Kwa hiyo ulikuwa unatupiga chable[emoji23]

hahaha ndio mkuu,

Nimepiga sana chabo hadi nikanogewaaa...ile nimetaka ku reply na ku-comment nikashindwa! Wakaniambie hadi nijiunge niwe mwanachama. Bhas sikuwa na budi bali kuchukua hatua na hatimae tuko hapa.
 
Karibu sana bwashee.
Umevaa barakoa lakini?
 
Karibu sana mgeni jisikie uko chumbani
 
Weka picha kwaza ili uwe verified
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…