Mimi mgeni wenu

Weka picha acha longolongo usajili wako hauwezi kamilika

Kuwa mpole, hapa nilipo ndio nakwenda kusafisha negative.

Halafu nifundishe hio picha nitaiweka kwa wapi? Na namna ya kuiweka kama hutojali
 
Kuwa makini mimi namjua huyo zaidi ya wewe mkuu

Asante kwa tahadhari kiongozi.. ndio uzuri wa kujitambulisha ili upate taratibu na muongozo.

Sema sio mbaya, acha anitembeze tu jukwaani hapa..nipate kampani yake..kwani ni mumiani huyo?
 
Asante kwa tahadhari kiongozi.. ndio uzuri wa kujitambulisha ili upate taratibu na muongozo.

Sema sio mbaya, acha anitembeze tu jukwaani hapa..nipate kampani yake..kwani ni mumiani huyo?
Mke wa ntu huyo,
 
Oho! [emoji46]basi wewe sio mgeni

Mmiliki sio yeye ila atakupa mwongozo vizur

Yalimkuta yapi mkuu?

Mimi ni mgeni mwanachama, nilikuwa msomaji kwa muda mrefu bila kujiunga. Leo ndio nimeamua kujiunga rasmi.
 
Niliwaza kukomenti hivi baada ya kusoma content nzima ya uzi wa mtoa uzi.

Eyoo Ndekrepha welkam in to ze building.. ila tuambie talent & proffesion yako.

Asante kwa ukaribisho mkuu.

Asee sina talent yoyote... na kuhusu proffesion pia sina ujuzi wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…