Mimi Mgeni

Mimi Mgeni

wewe unaitwa nani? unaishi wapi? karibu jukwaa la siasa
Wewe chama kubwa ccm?:target:
 
Hodi hodi wenyewe?

Karibu mgeni, karibu sana mpaka ndani. Hapo kwenye fridge kuna vinywaji mbali mbali Coke, Fanta, Orange Juice, Juice ya ukwaju, Togwa, Mirinda, Pepsi na 7 Up....chagua uipendayo ukate kiu maana leo joto kali sana 🙂🙂
 
Weka number yako ya cm,picha yako na leta barua kutoka selikari ya mitaa na wazamini watatu ili upate kujadili humu jukwaani.
 
Unakaribishwa,ila tu usiwe mtetezi wa MAGAMBA na kupindisha hoja Kwa posho za kila siku.
 
Back
Top Bottom