ako me maste
Member
- Jul 23, 2012
- 60
- 17
Kwani katika hali ya kawaida wati wanakula wapi na kwa namna gani? Kwamba nikienda restaurant nikila nitakuwa nimemkosea nani?
utashitakiwa kwa sheria za UAMSHO!
There is something called Makruh in Islamic. Its basically doing something which is not forbidden but in a way that it disturbs other people. You are a Christian so you have a right to eat but you should look at Zanzibar from an angle that its guided by Islamic principles. Not everyone smokes so you have no reason to smoke in public. Its simple. Buy your food or drinks and sit somewhere private and eat. You can eat in your house, your hotel room, inside your car etc. Problem is you want to buy a big bugger and a coke, stand at michenzani facing those flats and show everyone that you are eating yet majority of the people are fasting. Thats Makruh
............., nitashitakiwa kwa sheria ipi?
Au suala ni kuogopa jazba ya Wana Harakati? Polisi watanilinda kwa mimi kula wakati wa mfungo wa Ramadhani?
Nchi yetu Tanzania haina dini, Zanzibar au Tanzania bara, sivyo?
why dont you try to make love in public anywhere in the country in broad day light??????
wewe hutaki kuelewa, haijatungwa sheria kumkandamiza asiyekuwa mkristo kwa kuwa waislamu wamefunga basi asiyekuwa muislamu asile hadharan na sio kwamba ananyanyaaswa, hata italy wengi ni roman catholics so hata utamadun wao wa maisha asilimia kubwa umegubikwa na utamadun wa kikatolic.
why dont you try to make love in public anywhere in the country in broad day light??????
Nimesikia na huku tanganyika wameanza na bakora kwa akina dada kwa maagizo ya mungu. Wanaacha kuutumia muda wa funga kufanya toba wanakesha wakizunguka mitaani kutafuta wadada wa kuwatandika bakora ili wapate thawabu. What kind of religion is this!
kuna mtu niliwahi kumsikia akisema kuwa ili uwe Padri inakupasa usioe.Nafikiri kukuta mtu anakula au watu wanafanya biashara ya chakula ni mojawapo ya majaribu ambayo unatakiwa kupambana nayo katika kipindi hiki cha mfungo so kukuta mtu anakula au anakunywa au anfanya biashara ya chakula just ignore it na uendelee na mfungo wako. No sweet without sweat. Take it easy guys.