Mimi na BVM bhaasiii..!! Nahitaji ushauri wako wa kujenga na si kubomoa

kuandika kwenyewe hujui, anatomy utaiwezea wapi? Wewe ni kilaza, hata kozi rahisi kama za polirical science na zenyewe utazikimbia

pouw kheri yako wewe unaeweza kuandika
 
Golden chance never come twice!!!! Unaweza kuaply chuo kngne ukapata mkopo zero, imemtokea rafiki yng
 
kuandika kwenyewe hujui, anatomy utaiwezea wapi? Wewe ni kilaza, hata kozi rahisi kama za polirical science na zenyewe utazikimbia
hopeless kabisa pspa sio kozi rahisi , sina lenyewe la kizembe kizembe toa uzembe wako
 
kuandika kwenyewe hujui, anatomy utaiwezea wapi? Wewe ni kilaza, hata kozi rahisi kama za <<polirical> >science na zenyewe utazikimbia
na jinsi lilivyo jinga na bongolala eti polirical ndiyo nini?
Kilaza mkubwaa hujui hata kuandika vizuri
 
Nasikitika kuona jukwaa la elimu limebadilika na kua jukwaa la mipasho watu badala ya kurekebisha makosa ku kosoa na kudharirishana ndio kunapewa kipaumbele zaidi, hakuna mtu ambaye hupenda kukosea jamani.

:focus:
ze duduz mie sio mzoefu wa secta hiyo ila nachoweza kukushauri ni kwamba jaribu ku review timetable yako na namna ya usomaji, pia kama wachangiajibwalio pita tafuta wazoefu walio pita wakupe ni njia gani walitunia kipita.
Ni hayo tu
 
ze duduz....
nlipokua o-level mwalimu wangu alinishauri nisome masomo yote 9 lakini nkawa mbishi ila mwisho wa siku ndio yaliyonifikisha hapa nilipo!! je ningesema ni magumu na kuacha ningekua wapi??? nachoweza kusema ni hamna sehem ambayo ni rahisi hapa duniani!!!! lakin jua PENYE MLIMA NDIPO PANA MTEREMKO!!! embu jaribu kucheki future kati ya BVM na hiyo biotechnology ya udsm!!! ipi iko na future nzuri?? BVM?? BIOTECNOLOGY??(tafakari).....alafu mbona ni mapema sana,embu tulia..then mtafute mentor(mshauri wako wa elimu) wako mjadili,hata wale wa mwaka wa 2,3,4,5!!
BVM kwa ushauri wangu ni sehem nzuri chamwimu komaa ila matunda yake utayaona few years to come!!! jaribu kufuta hayo mawazo kichwani kwako,alafu uone hali itakuaje!!! embu jaribu kuchukulia BVM ni mkeo(g.f) then akakupa song ya think twice ya celine dione kama dedication(jokin)...
nawasilisha.......
 
Last edited by a moderator:

hahahah kijana nimeipenda hii....
 
Last edited by a moderator:
pole sana nina mshkaji wangu alisoma BVM ilimkimbiza mbaya akaamua kuacha mwaka wa pili,sasa hvi yupo Udsm anasoma Zoology yupo mwaka wa tatu sasa japo tulingia sawa 2009 chuo nimemwacha.kwenye upande wa mkopo alibahatika akapata 100% it waz 2010.yeye alikuwa anatetemeka akishika desa la biochemistry na anatomy.komaa mkuu
 
Pole kijana ndo inabidi uzoee BVM inahitaji uwe serious full time na sikushauri uache komaa tu hata kwa probation tutafika tu
 
Twende ze2 ze dudu achana na hao waliokuwa wanatoa maneno ya mikeka!!!BVM yaukweli chalii sema 2 msuli!ila mi naamin unaeza!mi niko AGRONOMY 2na Prof. Mrema anakwambia alimsikia Nyerere akisema "It can be done,just play your part" lets play our parts bro n lets do this!!!Akili bado inachemka na bado kijana so lets roll!!!!!PIGA KAZ BRO BADO MAPEMA SANA!!IT CAN BE DONE!!
 
kwi kwi kwi kwi kwi,msamehe kaka hajui ugumu wa hyo coz huyo,wamezoea kozi za <<hgl hata chizi anafaulu>>,hawaujui mziki wa sua hao,pole kaka
ACHA kAULI ZA AJABU WEWEEEE KAMA UMEKOSA MFANO UNGENYAMAZA TUU
 

embu ni inbox ur rum bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…