ACHA kAULI ZA AJABU WEWEEEE KAMA UMEKOSA MFANO UNGENYAMAZA TUU
Sijui BVM wanasoma anatomy gani ila hata mimi mwaka wa kwanza wa MD anatomy ilikuwa ngumu kwangu ila kuna prof akatufundisha siri ya kusoma anatomy :
Kwanza anatomy ni kumeza mwanzo mwisho...na akili ya kumeza inapatikana unapoamka asubuhi....yani kila unapoamka chukua anatomy soma kwa nusu saa then endelea na ratiba nyingine (of course baada ya kuoga na vitu vingine)...kesho yake ukimka soma tena nusu saa ukianzia pale ulipoishia.....watu wanakosea kusoma kichwa kikiwa kimechoka
Ukiachana na hiyo ratiba ya asubuhi...unatakiwa uwe na ratiba nyingine ya kupitia angalau siku mbili katika wiki.....yani katika hizo siku mbili unasoma angalau nusu ya siku au zaidi ila hakikisha umepumzika vizuri kabla ya kuanza kusoma
Mimi nilikuwa nasoma hivi....nikisoma mara ya kwanza mara ya pili nasoma kwa mbinu ya kufunga daftari....yani naangalia heading halafu najaribu kukumbuka kila kitu kuhusu heading hiyo pasipo kuangalia kwenye kitabu...mfano muscles of the leg...basi nafunga kitabu halafu najaribu kukumbuka muscles zote halafu ndio naangalia wapi nimesahau au kukosea..
Ukizoea utashangaa nini kilikua kinakushinda......Pia nina uhakika kuna wanafunzi wengine wanaliweza hilo somo kwa hiyo jaribu kuchunguza mbinu zao.....
Kuna kozi sio za kuziachia kirahisi ndugu yangu hasa kama umetoka familia masikini na huna connections....sasa hivi watoto wa masikini ni Medical studies na Education ndio mpango mzima.
Ni hayo machache
daah ushaurii wako ulisaidia sana
mmmmh....! na me ndo naingia huko kwenye anatomy itabidi nifate mbinu zako asapSijui BVM wanasoma anatomy gani ila hata mimi mwaka wa kwanza wa MD anatomy ilikuwa ngumu kwangu ila kuna prof akatufundisha siri ya kusoma anatomy :
Kwanza anatomy ni kumeza mwanzo mwisho...na akili ya kumeza inapatikana unapoamka asubuhi....yani kila unapoamka chukua anatomy soma kwa nusu saa then endelea na ratiba nyingine (of course baada ya kuoga na vitu vingine)...kesho yake ukimka soma tena nusu saa ukianzia pale ulipoishia.....watu wanakosea kusoma kichwa kikiwa kimechoka
Ukiachana na hiyo ratiba ya asubuhi...unatakiwa uwe na ratiba nyingine ya kupitia angalau siku mbili katika wiki.....yani katika hizo siku mbili unasoma angalau nusu ya siku au zaidi ila hakikisha umepumzika vizuri kabla ya kuanza kusoma
Mimi nilikuwa nasoma hivi....nikisoma mara ya kwanza mara ya pili nasoma kwa mbinu ya kufunga daftari....yani naangalia heading halafu najaribu kukumbuka kila kitu kuhusu heading hiyo pasipo kuangalia kwenye kitabu...mfano muscles of the leg...basi nafunga kitabu halafu najaribu kukumbuka muscles zote halafu ndio naangalia wapi nimesahau au kukosea..
Ukizoea utashangaa nini kilikua kinakushinda......Pia nina uhakika kuna wanafunzi wengine wanaliweza hilo somo kwa hiyo jaribu kuchunguza mbinu zao.....
Kuna kozi sio za kuziachia kirahisi ndugu yangu hasa kama umetoka familia masikini na huna connections....sasa hivi watoto wa masikini ni Medical studies na Education ndio mpango mzima.
Ni hayo machache
This thread was just too nice for me....lol
Kama bado Ze Dudu unapiga BVM,hongera kwa kufanya the wisest decision...hop God iz standin on ya path ma pal...
pamoja sana kaka kama utakuja pand iziiii za sua utanichekiii kwa inbox iviii
Kama Ze duduz ulifika mahala ukakata tamaa sisi wengine itakuwaje? Mkuu endelea kututia moyo, vipi kwa wale hatukusoma Kemia hii makitu BVM tutaiweza kweli?
Wewe utachizika na hiyo PGM yako...kwanza umepataje BVM bila chemia na bioz....!!:::impossible::::
mkuu ni msulii wako tu utakao kusaidiaa yaani hapa ni mwendo wa kumeza kuelewa ni mbele kwa mbele
daah ushaurii wako ulisaidia sana
mmmmh....! na me ndo naingia huko kwenye anatomy itabidi nifate mbinu zako asap