Uchaguzi 2020 Mimi na jamaa zangu 12 na ndugu zangu 6 tunamuhakikishia Tundu Lissu kura 18

Hat HatA 2015 mlipiga wote na zaidi ila hamkushinda sasa iweje leo
 

Hapo nakupa Kudo's kamanda.
Kama kutakuwa na Watz Milioni 2 au 3 tu wenye mawazo chanya kama haya basi Mhe Lissu asbh mapema anaingia Ikulu!!
 
Kumbe, kwa hiyo mke anajifanya hajui kusoma na kuandika?
 
kumbuka kura sio mchango wa rambirambi, bado unayo nafasi ya kutafakari kabla ya kupiga kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…