OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
.Comments za mashabiki oya oya wanaosukumwa na mihemko ya muda mfupi.
Kiwango chake kinatakiwa kipimwe akutanapo na miamba mingine sio Ruvu
Comments za mashabiki oya oya wanaosukumwa na mihemko ya muda mfupi.
Kiwango chake kinatakiwa kipimwe akutanapo na miamba mingine sio Ruvu
Alishapimwa kule AfCON na kwa Asec Mimosas.Comments za mashabiki oya oya wanaosukumwa na mihemko ya muda mfupi.
Kiwango chake kinatakiwa kipimwe akutanapo na miamba mingine sio Ruvu
asec mimosasComments za mashabiki oya oya wanaosukumwa na mihemko ya muda mfupi.
Kiwango chake kinatakiwa kipimwe akutanapo na miamba mingine sio Ruvu
tuwekee na nkane wenuComments za mashabiki oya oya wanaosukumwa na mihemko ya muda mfupi.
Kiwango chake kinatakiwa kipimwe akutanapo na miamba mingine sio Ruvu
Kwa hiyo wewe siku zote tangu anasajiliwa na hata kabla hajasajiliwa kuja Simba wewe hukuona ana kipaji?Huyu dogo ana kipaji nina hakika hapa Simba Sc anapita tu kama njia. Ukimtazama kwa jicho la karibu utaona mpira mkubwa anaocheza. Mechi ya Asec aliupiga mpira mkubwa sana pamoja na kukosa magori kadhaa. Jana nilimfuatilia kwa karibu sana nimebaini ana madini mguuni...
Tumechukua ushauri ✌✌Kwa hiyo wewe siku zote tangu anasajiliwa na hata kabla hajasajiliwa kuja Simba wewe hukuona ana kipaji?
Si ndiyo ninyi mliokuwa mnasema Simba imesajili watoto mkimlenga yeye eti hana lolote ni mtoto tu!?
Badilikeni ,mpeni mtu nafasi ya kuonesha talent yake sio leo mnamnanga kesho mnasema ana kipaji kikubwa sana