Huyo mwanaume ni bwe.ge kabisa, matatizo mengine kwenye mapenzi huwa watu wanajitakia, sasa mfano angempa white mfano angeambiwa wewe ni mchomvu wa mwisho kulinganisha na ma X wangu wote waliopita, tena una kidudu kidogo, angefanyeje?
jibu lilikua rahis tu wewe dio bora
Jamaa alikua anajishaua na ma offer anasema pesa ipo mtumiaji tuu hakuna mie sina mbavu.Huyo mwanaume ni bwe.ge kabisa, matatizo mengine kwenye mapenzi huwa watu wanajitakia, sasa mfano angempa white mfano angeambiwa wewe ni mchomvu wa mwisho kulinganisha na ma X wangu wote waliopita, tena una kidudu kidogo, angefanyeje?
teh teh teh shosti umenikumbusha hayo maneno ya salon ikiwa kama pipi yakifua hata mie basi nasamehe......Duh! mie ningemwambia funika kombe mwanaharamu apite,na hasa watu wanao uliza haya wanakua hawajiamini na chululu zao kama pipi yakifua ukikohoa imetoka.....
Anajua ndio mana alikua anajishaua yani kalipa bill kama laki 4 manake alitaka ajulikane yeye nani,mara kaenda kutunzajamaa alikuwa anajua kwamba X wa g/f wake yupo hapo kwenye eneo la tukio? all in all, jamaa ana akili ya panzi kabisa
Anajua ndio mana alikua anajishaua