Ni kweli kabisa mkuu,mleta mada ana mawazo ya kizamani,siku hizi mtu akisafiri anatizama fursa za kimaendeleo na sio kutafuta ngono na kujiweka hatarini na magonjwa yasiyokua hata na tiba!Mawazo ya kizamani
Hata mimi nimetoka leo Kateshi na nimelala sehemu moja inaitwa Summit centre lakini siwezi kuwa na mawazo ya aina hiyo tena kwenye publicNi kweli kabisa mkuu,mleta mada ana mawazo ya kizamani,siku hizi mtu akisafiri anatizama fursa za kimaendeleo na sio kutafuta ngono na kujiweka hatarini na magonjwa yasiyokua hata na tiba!
Mkuu hivi vitoto vikichoka huko fesibuku basi hua vinakuja kuharibu huku!! JF na FB ni vitu viwili tofauti kabisa mtambue hilo kwanza mnapojiunga huku.Mleta Uzi sijui ni utoto au ugeni wa jukwaa!! Mawazo na upuuzi wa fb unauleta Jf. Nimefungua Uzi fasta nkijua Kuna fursa ya maana umeiona Katesh kumbe ni ulimbukeni wa wanawake?
Unaishi Dar IPI kwanza had utoke ukashangae wanawake wa vijijini?
Shame on you young man.
Angalia fursa dogo Achana na ngono hizo
Unaeza isoma akili yake kupitia maandishi yake na kumpuuza. Bure kabisa huyuMkuu hivi vitoto vikichoka huko fesibuku basi hua vinakuja kuharibu huku!! JF na FB ni vitu viwili tofauti kabisa mtambue hilo kwanza mnapojiunga huku.
Hao sifa yao kubwa hawajui kukataa,usisahau kutumia kinga utajibebea maradhi kwa tamaa za mailingsMsema kweli mpenzi wa Mungu. Jana nilileta uzi hapa kuhusu wanawake wa kimbulu jinsi walivyo wazuri, hapo nilikuwa Babati. Leo bwana nikaenda Katesh, mama yangu!!
Huku ndio utajua kwanini Mungu anaitwa Mungu. Hawa viumbe bwana wazuri kinomaa msomali si msomali, mwarabu si mwarabu, mzungu si mzungu, yani acha.
Nawashauri wenye wake msije huku mtajuta kuoa mapema. Halafu hawana gharama mtoto unakula naye bata siku tatu anakuomba Elfu 5. Ila nahofia kuja nae Dar maana mapedeshee watanipora au kesi za fumanizi zitakuwa kila siku.
Hao ndiyo hawaishi kulalama maisha magumuNi kweli kabisa mkuu,mleta mada ana mawazo ya kizamani,siku hizi mtu akisafiri anatizama fursa za kimaendeleo na sio kutafuta ngono na kujiweka hatarini na magonjwa yasiyokua hata na tiba!
Mkuu jicheki na magonjwa wenzako tumepita miaka kenda kenda tunawaona na kuwapita tu kama mabolizozoMsema kweli mpenzi wa Mungu. Jana nilileta uzi hapa kuhusu wanawake wa kimbulu jinsi walivyo wazuri, hapo nilikuwa Babati. Leo bwana nikaenda Katesh, mama yangu!!
Huku ndio utajua kwanini Mungu anaitwa Mungu. Hawa viumbe bwana wazuri kinomaa msomali si msomali, mwarabu si mwarabu, mzungu si mzungu, yani acha.
Nawashauri wenye wake msije huku mtajuta kuoa mapema. Halafu hawana gharama mtoto unakula naye bata siku tatu anakuomba Elfu 5. Ila nahofia kuja nae Dar maana mapedeshee watanipora au kesi za fumanizi zitakuwa kila siku.