Mimi najitolea kufundisha sabuni ya maji kwa vitendo bure kabisa kama upo Dar

sontable

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2018
Posts
261
Reaction score
535
Sipendi niwachooshe saana na nisiwe mwongeaji ila kwa ufupi nimeona nivema tukasaidiana baadhi ya vitu either katika kujibu au kufundishana

Mimi najitolea kufundisha sabuni ya maji kwa vitendo bure kabisa kama upo dar waweza kunipm

Note:Malighafi utajitegemea ila haizidi sh 27000 maana hapo sabuni utatengeneza kama lita 20 na malighafi zingine zitabaki sabuni na malighafi zilizobaki pia unaondoka nazo wewe mwenyewe
Pia sabuni hii ni nzuri,nzito wala haina tatizo la kujikata


Usiku mwema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…