"Mimi Naogopa Sana Mume wa Mtu"...

Dah Bishanga we mwizi aisee...we noma
 
Duuuuuuuh, hiii kali.
 

Nimeipenda hakuna kuremba.
 
Nani kakuambia wanaogopa waume za watu, hao ndo wanawataifisha kabisa.

Vipi yule cashier wa piccasso naongelea yule mrangi bado yupo? kama yupo masalimie sana mwambie fazaa anasema hello ka miss pizza, atanijua tu.

Kajaa tele. Salamu zimefika mkuu!
 
Tobaaaa!!! Bishanga huna maana, yani unaua kabisa... khah... sina hamu..!!!

 
Huyo kesha kupenda isipo kuwa anaogopa kukukwambia inavyoonekana anataka Hati miliki, sasa tatizo hajapata mpenzi ambaye yupo serious na penzi lake. Amechoka maisha ya kurukaruka anataka aitwe Mrs fulani kwa nguvu. Msaidie apate kivuli cha muda
 
Huyo kesha kupenda isipo kuwa anaogopa kukukwambia inavyoonekana anataka Hati miliki, sasa tatizo hajapata mpenzi ambaye yupo serious na penzi lake. Amechoka maisha ya kurukaruka anataka aitwe Mrs fulani kwa nguvu. Msaidie apate kivuli cha muda

Labda nimuunganishe kwa jamaa single halafu tuone. Vivuli vya muda ni chumba cha kupanga.
 
Mkuu kua makini na videmu vya Arusha,ilisha nitokea hiyo wakati nikifanya kazi hapo Arusha 2008 baada ya kuhamishiwa hapo kwa muda,nilikutana na binti 1 alikua akisoma hapo mwaka wa mwisho A level na alikua akiishi maeneo ya "Sakina"mm nilikua "Karoleni"
Alikuja kwa gia hizo na akanitambulisha mpaka kwa baadhi ya ndugu zake,but kabla ya kula mzigo nilimuomba tukapime bcoz tayari nilikua na mke Dar na kwa maisha ya Arusha ilikua ngumu kua single,so baada ya kupata vipimo mzee nikaanza kula mzigo na baada ya 2months akanasa mimba,nilimwambia asiwe na khofu becouse alikua kabakiza 2 wks kumaliza shule,alipo maliza nilimwomba nipeleke barua kwao ili niongeze jiko,mtoto akakubali,
But kabla ya kupanga siku ya kupeleka barua akaniambia mimba imetoka,nilikubali kwa moyo safi,but in next few days fununu zikazagaa kwamba alitoa mimba,nilivyomuuliza akachomoa,but mamake mdogo akambana sana mpaka akakiri,sikua na jinsi zaidi ya kujivua gamba.
So tcare mkuu ingawa watoto wa Arusha wako bomba kinoma noma.
But pia Arusha ina maambukizi ya ukimwi ya kutisha,pita maaneo ya pale PICNIC nyuma ya ROSE GARDEN HOTEL mpaka Sombolelo then pandisha mpaka pale yanakopaki mabasi ya KLM(KILIMANJARO)Ebu check watoto wa kike bomba wanavyojiuza,na bei zao ni around ths 30,000 kwa condom mpaka asubuhi au ths 50,000 bila condom mpaka asubuhi na faster faster ni tsh 7,000-10,000.mkuu tcare.
 
loh! Mbaya weye!

 

Huyo anataka kituuuuuuu
 

Mweeh shemeji ndo mambo zako sio?
 

aiseee,kumbee!
 

haha, we nguv yote hiyo ya nn? yaan kama hao huwa wanapigwa flat, huna haja ya kumueleza chochote n believe me? she won't ask
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…