Kamanda huyo kesha kutaka hivo.Hiyo sms yake wala usiijibu kikamilifu...just tell her..'hahahaha tukionana nitakueleza',just to keep her interest alive,mkionana baada ya glass mbili za wine anza kumwonyesha huzuni jinsi mkeo anavyokusumbua na kukufanya utamani uhame inji,mweleze unavyojuta kuoa,mwambie mnalala different bedrooms,atalainika tu na ataanza ku feel sympathy,e bana e hata akitaka ahadi ya ndoa we mpe tu,akikuuliza ...'are you ready to dump mama kayai for me?',we kubali tu mradi ulambe mzigo,mengine atajijua huko mbele ya safari kudadadeki.
PICNIC nyuma ya ROSE GARDEN HOTEL
ahahaaaa bishanga bwana toto la town weweKamanda huyo kesha kutaka hivo.Hiyo sms yake wala usiijibu kikamilifu...just tell her..'hahahaha tukionana nitakueleza',just to keep her interest alive,mkionana baada ya glass mbili za wine anza kumwonyesha huzuni jinsi mkeo anavyokusumbua na kukufanya utamani uhame inji,mweleze unavyojuta kuoa,mwambie mnalala different bedrooms,atalainika tu na ataanza ku feel sympathy,e bana e hata akitaka ahadi ya ndoa we mpe tu,akikuuliza ...'are you ready to dump mama kayai for me?',we kubali tu mradi ulambe mzigo,mengine atajijua huko mbele ya safari kudadadeki.
kweli kabisa, akijileta anza naye tu................. la maana usihamiewakijileta wenyewe je? au unataka watudharau na kutukebehi?
Kumbuka kumheshimu Mungu. Ni vibaya kabisa kumtamani mume/mke wa jirani yako. wewe fanya kazi uliyotumwa, na kama anaonyesha kukuzimia, mpe ukweli kama uko hapo kikazi na si vinginevyo
Mzingue mpaka ule mzigo man we kama mkali kwani umwachie akatize piga halafu mwambie ukweli utaona kama hajakwambia muendelee kwa siri
Kamanda huyo kesha kutaka hivo.Hiyo sms yake wala usiijibu kikamilifu...just tell her..'hahahaha tukionana nitakueleza',just to keep her interest alive,mkionana baada ya glass mbili za wine anza kumwonyesha huzuni jinsi mkeo anavyokusumbua na kukufanya utamani uhame inji,mweleze unavyojuta kuoa,mwambie mnalala different bedrooms,atalainika tu na ataanza ku feel sympathy,e bana e hata akitaka ahadi ya ndoa we mpe tu,akikuuliza ...'are you ready to dump mama kayai for me?',we kubali tu mradi ulambe mzigo,mengine atajijua huko mbele ya safari kudadadeki.
Kamanda huyo kesha kutaka hivo.Hiyo sms yake wala usiijibu kikamilifu...just tell her..'hahahaha tukionana nitakueleza',just to keep her interest alive,mkionana baada ya glass mbili za wine anza kumwonyesha huzuni jinsi mkeo anavyokusumbua na kukufanya utamani uhame inji,mweleze unavyojuta kuoa,mwambie mnalala different bedrooms,atalainika tu na ataanza ku feel sympathy,e bana e hata akitaka ahadi ya ndoa we mpe tu,akikuuliza ...'are you ready to dump mama kayai for me?',we kubali tu mradi ulambe mzigo,mengine atajijua huko mbele ya safari kudadadeki.
Bora mtuogope nasi tuishi na wake zetu
kamanda huyo kesha kutaka hivo.hiyo sms yake wala usiijibu kikamilifu...just tell her..'hahahaha tukionana nitakueleza',just to keep her interest alive,mkionana baada ya glass mbili za wine anza kumwonyesha huzuni jinsi mkeo anavyokusumbua na kukufanya utamani uhame inji,mweleze unavyojuta kuoa,mwambie mnalala different bedrooms,atalainika tu na ataanza ku feel sympathy,e bana e hata akitaka ahadi ya ndoa we mpe tu,akikuuliza ...'are you ready to dump mama kayai for me?',we kubali tu mradi ulambe mzigo,mengine atajijua huko mbele ya safari kudadadeki.
Haogopwi mtu hapa wala nini, na ujue ndo mnasakwa kweli waume za watu
.....sentensi nimekuwa naisikia sana kutoka kwa kina dada walio single. Funny enough, kuna kina dada wapatao watatu niliowahi kuwasikia kwa masikio yangu (nafanya nao kazi) wakitoa kauli kama hii lakini eventually wamezaa na waume wa watu (of course sio kwa wakati mmoja na si na mume mmoja but over a period of four years).
Kuanzia jumatatu ya wiki hii nimekuwa nafukuzia kupewa assignment fulani na taasisi fulani. My contact kwenye hiyo taasisi ni mdada mmoja mrembo kweli ila hajaolewa. Nilimualika kula pizza pale Piccasso - wanaoifahamu Arusha wanaifahamu ilipo - jana jioni ili kujenga mazingira ya mimi kupata hicho ninachokitafuta (mwenye influence na maamuzi ni immediate boss wa huyo dada). Tulikula pizza na kuongea vitu viwili vitatu - social na professional - na kauli ya "kuogopa sana mume wa mtu" ika-crop up. Baada ya mlo kila mtu akachukua time. Mchana huu nikapata sms kutoka kwake akiniuliza: "Umeoa? Mimi naogopa sana mume wa mtu and I want us to be careful if you are married".
Au mimi sielewi maana ya "kuogopa sana mume wa mtu"?
JUST THINKING ALOUD!
Bila kamba hao huwapati ng'ooo........ Niambie, nani utamwambia ... YAANI MIMI NATAKA NIKUPITIE MARA SABA TU HALAFU NIKUACHE... Uone kama utapata hata mmojaDu wewe kwa kamba ni kiboko!.