"Mimi Naogopa Sana Mume wa Mtu"...

So,mkuu una mu-offer rushwa ya ngono ili akusaidie mambo yako?
au hii statement haitumiki kwa wanaume?

Hivi humu JF hatuna wanasheria? Nafikiria kum-sue Speaker kwa defamation! Hebu rudia Speaker, ninam-offer nini vile???
 

Bishanga!By the power invested in me,by me myself, I clown you to be...THE KING OF ADULTERY
 

Bishanga ,

We unampoteza huyo kijana. Hapo huo mzigo umeshaingia king , yaani unachotaka ni kuhakikishiwa tu kuwa mambo yataenda fresh. Sasa kijana hapo kama anataka kula inabidi aseme mapema kwamba mke wake ni mkali kama Mbwa Pit bull yaani balaa na akimsikia tu kuna kamdada kapo nae anaweza kuanzisha soo mbaya na huyo madada atatamani ahame mji....akishajua kama mama watoto yupo na ni mkali kufa mengine yanaweza kuendelea.
 
Hehehe lakini word of caution , kama unampango wa kufanya kazi ofisi moja na huyo dada ondoa kabisa hayo mawazo na mpotezee
 
uwiiii!!! hata mie mme wa mtu namwogopa!
 
mnasema bishanga oh bishanga yuko hivi na vile,mnaliona li cheater la ukweli hili? bishanga cha mtoto,nimekuvulia kofia mkuu!
 
acha woga,tairi haliogopi lami,unakimbia wanawake?
 
Kumbuka kumheshimu Mungu. Ni vibaya kabisa kumtamani mume/mke wa jirani yako. wewe fanya kazi uliyotumwa, na kama anaonyesha kukuzimia, mpe ukweli kama uko hapo kikazi na si vinginevyo
sawa bosi,nimekusikia.
 
Bishanga!By the power invested in me,by me myself, I clown you to be...THE KING OF ADULTERY
mmmhhh na figaniga je? na fidel? na wengine ambao hawavumi lakini wamo? si unajua debe tupu haliachi kushinda? ukute bunduki yangu haina risasi,si unajua ile stori ya...nguruwe pita sina mshale....ukute ndo bishanga abashaija.
 
aku! tena huyo Bishanga namwogopa kama ukoma. bora wewe. Uwiiiiiiiiii!!!!

Sishangai wewe kumuogopa Bishanga, maana wanawake ndio zenu hizo. Unakuta unamuogopa mende au panya lakini unamchezea sharubu simba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…