"Mimi Naogopa Sana Mume wa Mtu"...

Sishangai wewe kumuogopa Bishanga, maana wanawake ndio zenu hizo. Unakuta unamuogopa mende au panya lakini unamchezea sharubu simba!

hahahahahahahahaha!!! kazi kweli kweli!
 
Basi ngoja tumpige chini jamaa yangu Bishanga, nitaku-PM.

hahahahaha! chezea Bishanga wewe, unataka anifanye kama alivyoandika hapo juu. ila kiukwel ni kama kafundisho fulani hivi, yaani mie wanaume wa watu hawanipati ng'o nshawajulia stle zao!
 
Wengi wa kina dada ? mama huchukulia usemi huu kama njia ya kupandisha chart yao, na pengine kumfanya mwanaume aongeze bidii kwani nafasi ipo

kwa ufupi ni tangazo tu kwamba nafasi ipo
 
hahahahaha! chezea Bishanga wewe, unataka anifanye kama alivyoandika hapo juu. ila kiukwel ni kama kafundisho fulani hivi, yaani mie wanaume wa watu hawanipati ng'o nshawajulia stle zao!

Kwani waume za watu wana alama usoni?
 
hahahahaha! chezea Bishanga wewe, unataka anifanye kama alivyoandika hapo juu. ila kiukwel ni kama kafundisho fulani hivi, yaani mie wanaume wa watu hawanipati ng'o nshawajulia stle zao!
i love you Risa!
 
bishanga we noma sana,
kila nikisoma michango yako namkumbuka bishanga wa kaole,
alikuwa akizimikiwa sana watazamaji wengi,vp wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…