YEHODAYA JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 36,900 Reaction score 52,056 May 22, 2020 #21 TumainiEl said: Sasa ukiangalia kwa sasa kwa kipindi cha mwezi tu Usd amekuwa strong dhidi ya tzs. Yani kutoka dola kuuzwa 2228 leo imefika 2338 kwenye mabank ya biashara. Hii inamanisha nini? Click to expand... Maana yake watu wana pesa.Mwenye pesa hata upandishe bei vipi Wananunua.Watu wangekuwa pesa hawana dola ingeuzwa hadi shilingi mia 200
TumainiEl said: Sasa ukiangalia kwa sasa kwa kipindi cha mwezi tu Usd amekuwa strong dhidi ya tzs. Yani kutoka dola kuuzwa 2228 leo imefika 2338 kwenye mabank ya biashara. Hii inamanisha nini? Click to expand... Maana yake watu wana pesa.Mwenye pesa hata upandishe bei vipi Wananunua.Watu wangekuwa pesa hawana dola ingeuzwa hadi shilingi mia 200
Abul Aaliyah JF-Expert Member Joined Nov 8, 2016 Posts 7,828 Reaction score 5,969 May 22, 2020 #22 Tembea kifua mbere ww,acha kutumika na mabeberu Sent using Jamii Forums mobile app