Tetesi: Mimi nasubiri Bandari ya Bagamoyo, haya mauchumi ya Reli na mabomba ya mafuta naona giza

Tetesi: Mimi nasubiri Bandari ya Bagamoyo, haya mauchumi ya Reli na mabomba ya mafuta naona giza

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,897
Hivi ile bandari ya bagamoyo imefikia wapi? na mikataba kumi na saba ya china? Kwasasa mimi naona mauzauza tu Mara reli mpaka Rwanda, Mara bomba la mafuta Mpaka uganda, mara kuna baadhi nchi zinanuna. Mara yale maproject na northern Corridor siyasikii tena lol.

JPM norma sana.
 
Back
Top Bottom