Mimi natafuta mchumba ambaye baadaye atakuwa mke wangu

Mimi natafuta mchumba ambaye baadaye atakuwa mke wangu

Upendo Umoja

Member
Joined
Mar 9, 2024
Posts
15
Reaction score
12
Mimi natafuta mchumba ambaye baadaye atakuwa mke wangu . Sifa zake.
1. Asiwe na tatizo la kiafya la kudumu.
2. Awe amemaliza la Saba au sekondari au chuo au chuo kikuu.
3. Awe amejiajiri mwenyewe, au ameajiriwa, au awe anaendesha miradi yake mwenyewe.
4. Awe anahofu ya Mungu.
5. Awe mkristo, na awetayari kumuhubiri Kristo
6. Awe na mtoto au watoto au asiwe nao.
7. Umri kuanzia miaka 30 Hadi 40.
8. Awe mpenda maendeleo.
Mimi niko Dar . Ni Pm.
 
Age group nimeipenda, hapo utapata kinanda kabisa!
Kila la heri.
 
Unanasa kwa mushangazii tupuu, watoto waloiva Jana umewaengua kwenye kuwania.... priority tunatofautiana sana mi no.E nikikosaa sana D!
 
Asiwe na tatizo la kiafya la kudumu
Je ikiwa atalipata ukiwa nae ndoani utamuacha?
 
Mimi natafuta mchumba ambaye baadaye atakuwa mke wangu . Sifa zake.
1. Asiwe na tatizo la kiafya la kudumu.
2. Awe amemaliza la Saba au sekondari au chuo au chuo kikuu.
3. Awe amejiajiri mwenyewe, au ameajiriwa, au awe anaendesha miradi yake mwenyewe.
4. Awe anahofu ya Mungu.
5. Awe mkristo, na awetayari kumuhubiri Kristo
6. Awe na mtoto au watoto au asiwe nao.
7. Umri kuanzia miaka 30 Hadi 40.
8. Awe mpenda maendeleo.
Mimi niko Dar . Ni Pm.
Nakazia hoja kila raheli
 
Back
Top Bottom