Upendo Umoja
Member
- Mar 9, 2024
- 15
- 12
Nimeomba na subiri majibu kupitia watuMKE NA MUME BORA ANAPATIKANA KWA KUOMBA KATIKA JINA LA YESU KRISTO PEKEE
Yesu atakuketea mke nyumbani kwako?MKE NA MUME BORA ANAPATIKANA KWA KUOMBA KATIKA JINA LA YESU KRISTO PEKEE
NDIO UKIOMBA HAKUNA LINALO SHINDIKANAYesu atakuketea mke nyumbani kwako?
Hujajibu swaliNDIO UKIOMBA HAKUNA LINALO SHINDIKANA
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
Karibu, ni pmUnanasa kwa mushangazii tupuu, watoto waloiva Jana umewaengua kwenye kuwania.... priority tunatofautiana sana mi no.E nikikosaa sana D!
Nitakuwa nemeshaingia mkataba wandoa ,sitamuacha.Asiwe na tatizo la kiafya la kudumu
Je ikiwa atalipata ukiwa nae ndoani utamuacha?
HayaNitakuwa nemeshaingia mkataba wandoa ,sitamuacha.
Nakazia hoja kila raheliMimi natafuta mchumba ambaye baadaye atakuwa mke wangu . Sifa zake.
1. Asiwe na tatizo la kiafya la kudumu.
2. Awe amemaliza la Saba au sekondari au chuo au chuo kikuu.
3. Awe amejiajiri mwenyewe, au ameajiriwa, au awe anaendesha miradi yake mwenyewe.
4. Awe anahofu ya Mungu.
5. Awe mkristo, na awetayari kumuhubiri Kristo
6. Awe na mtoto au watoto au asiwe nao.
7. Umri kuanzia miaka 30 Hadi 40.
8. Awe mpenda maendeleo.
Mimi niko Dar . Ni Pm.
NDIO UKIOMBA ATAKULETEA MPAKA NYUMBANI MWAKO YOTE TUNAWEZA KWA KUOMBAHujajibu swali