Mimi natafuta mchumba nipo serious

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Kweli na tafuta mchumba serious nimekuwa mtu mzima nahitaji familia
Vigezo serious awe handsome wa kiasi .
Awe 32 -40
Awe hajawahi kupata mtoto kokote.
Awe anafanya kazi kaajiriwa .
Elimu Anizidi mimi na Diploma .
Awe mweupe au maji yakunde awe mrefu wastani.
Asiwe mzubavu awe anachangamkia maisha .
Sipendi mtu mkimya sana nasipendi wambeya .
Akiwa arusha ni raha zaidi.
Kama ni mikoa mingine awe anauwezo wakuja Arusha.
Asiwe mchungu .
Na asiwe mchoyo na asipende kuweka siri .
Jingine asiwe mlevi ., awe anahofu ya Mungu.
Awe mkristo ila asiwe anasali kwenye makanisa ya kilokole nataka haya makanisa yanayotambulika , katoliki , lutheran , anglikana ila haya makanisa yasiotambulika awali hapana.
Nipewa hii na ndugu yangu nisaidie kupost yeye ana 30 sitaki midomo .
Kalale .
 
Una masharti sana.Mungu akujaalie, inshaallah!
 
Kama ni mjasiriamali au mfanyabiashara mwenye elimu hata ya bachelor je inakuwaje hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…