Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Sorry management imejitosheleza, may be next time labda kama una mafwedha tupindue meza kibabeNafasi ya Umeneja
Watz huwambii kitu kuhusu alexido jz na bongo la PIANO yakeMpaka hapo niseme kwamba utapata unachostahili, watanzania nawaamini sana kwenye masuala ya surprises, hongera sana kiongozi!
UnaotaUBATILI...
BIG BIGGER BIGGEST, BONGO LA PIANO, MUZIKA DE ALEXIDO JZ, TOTO LA WABONGO, TULEMONDE KADANSIEHahaha
Mafwedha yapo mfuko wa shati..Nataka uchukue GrammySorry management imejitosheleza, may be next time labda kama una mafwedha tupindue meza kibabe
Shukran mkuu talifanyia kaziππππ. Usisahau 7 October mkuu, barikiwa sana kakaItakua una OCD mbaya sana dogo.
Kapate uchunguzi kwa wataalam wa afya ya akili
Bange ni tamu sana sanaaNinashangazwa na watu wanavo zipenda nyimbo zangu nazo waimbia, kapela barabarani, wanaonesha kufurahi wengine wanalia Kwa furaha, in short nimechoka kusubiri, 7 october, am π΄ tired, kama Kuna mtu anaweza kukimbiza muda afanye hivo watu wanasubiri BURUDANI kemkem, EEH mwenyezi MUNGU nilinde, am here for them, enjoy my people
Tunavutaga wote bro, save the 7 octoberBange ni tamu sana sanaa
Siku hazigandiiTunavutaga wote bro, save the 7 october
Ucwazee mkuuSiku hazigandii
Usiwaze walaa, ni jiwe juu ya jiwe, kazi juu ya kazi yani bampa tu bampaBinafsi nakuamini sana mkuu π₯