Mimi ndio msanii wa kwanza kupanda ndege kwenda Mwanza – Dully Sykes

Mimi ndio msanii wa kwanza kupanda ndege kwenda Mwanza – Dully Sykes

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Msanii wa muziki Bongo, Dully Sykes amesema baadhi ya watu wamekuwa wakihofia kumpa nafasi anayostahili katika muziki kwa madai kuwa huwa hapandi ndege wakati yeye ndiye msanii wa kwanza Bongo kupanda ndege na kwenda kufanya show mkoani Mwanza mwaka 2000.

Muimbaji huyo amesema kwenye muziki wake alitakiwa awe mbali sana kama Wanigeria na kama watu wa Afrika wangesikia muziki wake angewakilisha vizuri Tanzania.

“Lakini watu wanakuwa wananihofia sana, wananiogopa wanajua wakijaribu sijui kitatokea kitu gani,” Dully Sykes ameiambia Choice Fm.

“Wanasema wewe hupandi ndege, mimi napanda kwenye maendeleo nisipande ndege kwa ajili gani?, nafikiri mimi ndio msanii wa kwanza kupanda ndege na kwenda kufanya show Mwanza, kuna wengine walipanda ndege miaka hiyo lakini mimi nilipanda kwenda kufanya kazi,” amesisitiza.

Ameongeza kuwa kipindi hicho wasanii wote walikuwa wanakwenda Mwanza kwa mabasi.

Bongo 5
 
Eeeeeh ndio maana yupo alivyo..
Aache wivu apige kazi
 
sio kwamba anajishaua ila ndivyo alivyo
 
Wanaogopa wakinipa nafasi sijui kitatokea kitu gani.....

Kweli? Kwa wimbo kama Bombardier na Coconut unadhani hata ukipewa nafasi utafanya nini?
Utaimba Yono? Au Shuka?

Alijua amepigwa gape akaamua kusema asiwekwe kwenye kugombea tuzo, kigezo "Mimi ni legend siwezi kugombea tuzo na watoto" wewe ni legend kuliko Prof Jay? Aliyechana Bongo Dar es Salaam na Chemsha Bongo hadi baba yako akakuruhusu na wewe ukaimbe?
Na Prof yupo hadi leo..

Anyways kwa nyie watoto wadogo Dully Sykes iliripotiwa kwenye gazeti kua kafumaniwa na mke wa mwanajeshi halafu akaliwa tigo na wanaume saba, alivyohojiwa akakubali akasema ni kweli.
 
Zamani kalikuwa ka-Charlie Chaplin kalikuwa kanafurahisha. Siku hizi kanazeeka na vyuma hivi vimekaza watu hawachekeshwi kwa mambo ya kipuuzi.
 
Muda wake ulishapita, sasa awaachie wengine, kiki za nini
 
Maneno matupu{makavu makavu!} ni KUJISHAUA tu! hizo data zake za kuwa msanii wa kwanza kupanda ndege tunazipatia kwenye search ipi?! wikipedia,bing,yahoo search ama google? sifa zingine bana! OVYOO
 
ndo naijeria atawaimbisha bombadia.....kama the list ....rubbish
 
Back
Top Bottom