Basi asiseme ni ya kweli kama ameongeza loloteNi Stori ya kutunga yenye ukweli MKUU au kahadithiwa hivyo kuna Baadhi ya ishu lazima aongeze mwenyewe Hali itakayomfanya aonekane muongo ingawaje Stori inaweza kuwa kweli
Ndio 94 kaingia dar kama umekaa dar utakubaliana na story yake dar maeneo mengi yalikuwa bado mapori! Na huo mshahara ndio alianza nae mimi nawasilisha mkuu!Hakuna ukweli hapo... Kwa umri wa miaka 40 ni wazi kazi huyo mtu angefanya miaka ya 1990s mpaka nwanzoni mwa 2000. Huo mshahara sio kweli hivyo hadithi nzima ni ya uongi
Kadanganya parefu sana kwenye pesa ila umri nahisi yuko sawa hakuhitimu primary schoolSasa huyo Belinda kazaliwa miaka 40 iliopita kwa hesabu za haraka ni 1982 alikuja dar miaka ya 94.....
10k kwa wakati huo ilikua sahii. Wasikupoteze maboya...Kama yupo mtumishi alikuwa analipwa 10,000 mwaka 94 ajitokeze hapa! Na tuanze kwenda na uhalisia sasaiv!
nyingi au chache?Kama yupo mtumishi alikuwa analipwa 10,000 mwaka 94 ajitokeze hapa! Na tuanze kwenda na uhalisia sasaiv!
Hasa kwa wahindi et eeeh10k kwa wakati huo ilikua sahii. Wasikupoteze maboya...