johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mchungaji Msigwa asisahau namna CHADEMA walivyompambania dhidi ya Monica 2010
Mchungaji Msigwa asisahau jinsi Baadhi ya wazawa wa CCM wale Team Lowassa walivyomkataa Mwakalebela na kusema afadhali wampe Yeye kwa Heshima tu ya Chadema kumpokea Lowassa
Mchungaji Msigwa nadhani umenielewa sana
Aliyekufadhili kwa dhiki ndiye Rafiki japo kwa sasa ni mkono mtupu, kumbuka Dr Kitine alitoswa 1995 kwa sababu ya Siasa za uzawa.
Soma Pia: Mchungaji Msigwa hawezi kushindana na Mbowe kwa sababu kimfumo Mbowe ni daraja tofauti na yeye
Mlale Unono 😃😃