Mchungaji Msigwa asisahau namna Chadema walivyompambania dhidi ya Monica 2010
Mchungaji Msigwa asisahau jinsi Baadhi ya wazawa wa CCM wale Team Lowassa walivyomkataa Mwakalebela na kusema afadhali wampe Yeye kwa Heshima tu ya Chadema kumpokea Lowassa
Mchungaji Msigwa nadhani umenielewa sana
Aliyekufadhili kwa dhiki ndiye Rafiki japo kwa sasa ni mkono mtupu, kumbuka Dr Kitine alitoswa 1995 kwa sababu ya Siasa za uzawa
Mlale Unono ππ